Steven Munugwa- Kwa umoja (feat. Witness Adolf) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Steven Munugwa- Kwa umoja (feat. Witness Adolf) - Steven E. Munugwa
...
(Kwa Umoja
Kwapendeza
Kwa Umoja
Kwapendeza)
Umoja ni nguvu
Tupande tuvune pamoja
Sisi ni ndugu
Was baba mmoja
Viungo vingi
Lakini mwili mmoja
2×
Ukijitenga na wenzako
Watafuta matakwa yako
Unapinga shauri jema
Wala huwezi fanikiwa
2×
(Njoo tuungane
Tujenge pamoja)
2×
(Kwa Umoja
Kwapendeza
Kwa Umoja
Kwapendeza)
(Umoja ni nguvu
Tupande tuvune pamoja)
Ndani ya Umoja
Kuna ushindi
Mmoja akianguka
Mwingine humuinua
2×
Tazama inavyopendeza
Ndugu wakae Kwa Umoja
Wakipendana Kwa Furaha
Mungu hushuka kati yao
2×
Njoo tuungane
Tushinde pamoja
2×
(Kwa Umoja
Kwapendeza)
(Umoja ni nguvu
Tupande tuvune pamoja)