Steven Munugwa- Nakutegemea (feat. Deborah Bonphace) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Steven Munugwa- Nakutegemea (feat. Deborah Bonphace) - Steven E. Munugwa
...
Uliniumba kwa Kusudi lako
Hatima yangu iko mikononi mwako
Baraka zangu katika hazina yako
Nami nainua Macho juu kwako ×2
Mfadhili wangu (Ee Yesu)
Mtetezi wangu (Ee Mungu)
Mkombozi wangu (Mhhh)
Nakutegemea
Muumbaji wangu (Ee Yesu)
Mchungqji wangu (Ee Mungu)
Jemedari wangu (Mhhhh)
Nakutegemea
Nakutegemea, (Yesu wangu)
Mwamba wa Maisha yangu
(Nisaidie Bwana)
Nakutegemea (Baba yangu)
Mwamba wa Maisha yangu
¶¶¶¶¶
Huduma yangu naileta kwako
Masomo yangu nakabidhi kwako
Familia nayo naileta kwako
Usiniache Mi ni Mali yako
Taifa langu nalileta kwako
Kanisa langu nalileta kwako
Kazi yangu Ya mikono nayo Kwako
.....
Mfadhili wangu (Ee Yesu)
Mtetezi wangu (Ee Mungu)
Mkombozi wangu (Mhhh)
Nakutegemea
Muumbaji wangu (Ee Yesu)
Mchungaji wangu (Ee Mungu)
Jemedari wangu (Mhhhh)
Nakutegemea
Nakutegemea, (Yesu wangu)
Mwamba wa Maisha yangu
(Nisaidie Bwana)
Nakutegemea (Baba yangu)
Mwamba wa Maisha yangu
Bridge
(Nakutegemea)
Nakutegemea
Mwamba wa Maisha yangu
Kwenye masomo yangu
Nakutegemea (Rabbi mwema)
Katika vita yangu- Nakutegemea (Jemedari wangu) Mwamba wa Maisha yangu
Nakutegemea (Kwenye Uchumi wangu) Mpaji wangu Mwamba wa Maisha yangu
Kwenye Mapito yangu- Nakutegemea (Mchungaji wangu)
Mwamba wa Maisha yangu
Kwenye magonjwa haya
Nakutegemea (Mponyaji wangu)
Mwamba wa Maisha yangu.
Eee
Wa Maisha yanguuuh
Wa Maisha yangu uuuh
Kwa Maisha yangu.