MUNGU NI MWEMA Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
Lyrics
MUNGU NI MWEMA - Steven E. Munugwa
...
Kuzaliwa Maskini, Sio Kufa Maskini baba
(Oooh yupo Yesu anaweza)
Misukosuko ni mingi, Maisha no magumu
(Ooh yupo Yesu anaweza)
Umefanya umefeli, Usikate tamaa Dada
(Ooh yupo Yesu anaweza)
Yupo Yesu
Yupo Yesu
Usichoke, Songa mbele
Yupo Yesu anaweza
Bridge
Nimegundua, nimeshuhudia
Mungu ni Mwema ×2..
Neema yake, Inanitosha aah
Fadhili zake, ni za Milele..
Nimwache Yesu, Nende kwa Nani?
(Mungu ni Mwema×2)
(Tunamwimbia kwa furaha na shangwe
tumeokoka ni kwa neema yake tu × n
Tumegundua, tumeshuhudia..
(Mungu ni Mwema×2)
Tangu Milele, Hata Milele
(Mungu ni Mwema×2)
Katika shida, na Hata raha..
(Mungu ni Mwema×2)
Fadhili zake ni za Milele..
(Mungu ni Mwema×2)
Nimwache Yesu, Nende kwa nani?
(Mungu ni Mwema×2)
(Tunamwimbia kwa furaha na shangwe
tumeokoka ni kwa neema yake tu × n
¶¶¶¶¶¶¶