MKONO WA BWANA Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
Lyrics
MKONO WA BWANA - Steven E. Munugwa
...
1.Mkono wa Bwana watosha hata Uokoe
Na sikio lake laweza kusikia yote
Ila mwanadamu amemwasi Mungu wake
(Hata mkono wake Bwana hautamwokoa,
Hata maombi yake sasa hayatasikiwa.×2)
Chorus
Sîku zote Bwana hawezi kubadilika
Alilolisema kwa wakati atalifanya
Anajali sana walio watakatifu
Tusifadhaike yupo kwa ajili yetu
2.Uyatende Yale upendayo kutendewa,
Sababu hii ndiyo torati na manabii
Uwe chombo chema, kinachomfaa Bwana,
(Bwana huona Neno lake na kulitimiza
Tena hautafadhaika, siku zako zote.×2)
Chorus
Siku zote Bwana hawezi kubadilika
Alilisema kwa wakati atalifanya
Anajali sana walio watakatifu
Tusifadhaike yupo kwa ajili yetu.×2
3. Akaaye ndani ya Bwana huyo huzaa sana
Na USO wa Bwana huwaelekea wenye haki
Tumkiri Bwana kwa imani na matendo
(Mkono wa Bwana ni Hodari, utatuokoa,
Dua zetu na maombi yetu atayasikia×2)
Chorus
Siku zote Bwana hawezi kubadilika
Alilolisema kwa wakati atalifanya
Anajali sana walio watakatifu
Tusifadhaike yupo kwa ajili yetu ×2
Music