KWA KISHINDO Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
Lyrics
KWA KISHINDO - Steven E. Munugwa
...
(Ananiwazia mema baba, nitashinda kwa Kishindo..)
Hata nikipita kwenye maji mengi, Sitazama..
Hata nikipita kwenye moto Hautaniunguza...
Hata nipite uvuli wa mauti, Ni Mchungaji...
Nakaza mwendo siangalii nyuma, Nitashinda...
Hata marafiki wa karibu, Watakaponitenga...
(Ananiwazia Mema Bwana, Nitashinda kwa Kishindo)
Chorus
Usindi wa Kishindo (Kwa Kishindo)
Kwa Mungu utashinda (Kwa Kishindo)
Masomo utamaliza (Kwa Kishindo)
Mwaka utamaliza (Kwa Kishindo)
Ndoa utaifunga (Kwa Kishindo)
Bridge
(Mungu akiwa upande wangu, Nitashinda kwa Kishindo)
Yupo kazini baba, baba
Anajua nywele zako
Halali haendi likizo
Yeye Niko Ambaye Niko
Ndugu usiwe NA Manung'uniko
Ndugu mpelekee hoja zako
(Mungu akiwa upande wangu, Nitashinda kwa Kishindo.. ×2)
Chorus
Usindi wa Kishindo (Kwa Kishindo)
Kwa Mungu utashinda (Kwa Kishindo)
Masomo utamaliza (Kwa Kishindo)
Mwaka utamaliza (Kwa Kishindo)
Ndoa utaifunga (Kwa Kishindo)
×2
¶¶¶¶