FORGIVE ME ft. Young Lunya Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
FORGIVE ME ft. Young Lunya - Salmin Swaggz
...
lyrics by POKAs
prod: bobomadeit
...salminswaagz..
chorus... looooooove love forgive me for ma sins...sin
she say loooooo see your mama knees...knees yeah
she say looooooove love forgive me for ma sins...forgive me "sins" (for gimme) forgive me
she say looooooovee see your mama knees forgive me "knees"( for_gimme) forgive me
yeah alikua anadat na mwana anachana
kila weekend anaruka nawana
ukitaka namba anakupa wasichana
Leo anatubu ashaishi maisha ya laana
kaskia kunamwana anamsalandia kashalipa watu kama chupa 3 za bia
kisa anachukiwa na wadada ka mia
akavuta pumzi akamfata kamwambia
unajua nini kuhusu mimi
maisha yangu yanakuchoma nin
nimepiga goti sikuaga makini
nimekata kauli nakoma mimi
mungu baba nisameheee wendo baba nsipokee
u know am ur big fans and am blessin that ma way
naongea ile baraka baraka (nosense)
suti so malapa malapa (stressin)
family taraka taraka no
simwagi mchele mubarakha no
si tunarusha ile karata
tunabadilisha character
sotuna parasa parasa chukini garasha
isije nikamata roho ugh..roho
chorus... looooooove love forgive me for ma sins...sin
she say loooooo see your mama knees...knees yeah
she say looooooove love forgive me for ma sins...forgive me "sins" (for gimme) forgive me
she say looooooovee see your mama knees forgive me "knees"( for_gimme) forgive me
..younglunya..
yeah mama told me usicheze na ki2 kinaitwa wakati
wakati wakusoma niliuchezea nikawa na haraka kupata chapati
wakati unatoa mimba kumbuka kua kuna wenzako awapati
wakati wakujenga maisha mi nilijenga Kiki,kisha kwe2 shida, nkaacha shule ili nifanye mziki
asaivi ninabaki najiangalia
nilivopata huo is ustaar nkaanza na tabia za kuwavambia
nikipita club bebe zote kalikali nazipa offer ya bia
kula nyama kula henn.kula bata wambie mimi ndo nalipia wambie mnyama mkali ndo anaelipia
bebe zote kali nkawa na chapa
pesa mingi kama mwanangu kapo
maisha ujana bwana usipokua na couple
ukiona bebe kali masha na capo'
naishi kwakuunga unga mi so mwenzako
nkisha pata nyagi naigonga tako
aibu usiombee sasa hao mama zako napiga maramoja unaondoka zako
saivi naomba mungu anisamehe na mapepo yote nakemea
shetani ni mbaya apotee nmekosa ata pakuelekea
baba mungu nishike mkono nmekukosea sana oh lord
ufuska umefika kikomo plzz forgive me normal
chorus... looooooove love forgive me for ma sins...sin
she say loooooo see your mama knees...knees yeah
she say looooooove love forgive me for ma sins...forgive me "sins" (for gimme) forgive me
she say looooooovee see your mama knees forgive me "knees"( for_gimme) forgive me
lyrics handed by POKAs
Instagram poka_tz