Day One ft. Lil Dwin Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Day One ft. Lil Dwin - Salmin Swaggz
...
Nna wanangu toka day one (wanangu toka day one, day one)
Wafanya kazi sio ngekewa (wanangu toka day one, day one)
Hawa wanangu toka day one (wanangu toka day one, day one)
We wanao wanaelewa (wanangu toka day one, day one)
Wanao wanawaza kuball, wanangu wanawaza kudraw
Wanangu wanaweza nyuka pamba ila sio za kariakoo
Wanao matozi japo usiku wanakabana makoo
Wanao hawalipi show, pesa zimeshikana na roho
Na siwezi tena kuslow, nna pesa nyingi to go
Ndo maana nlifanya vitu vingi sabu I needed to grow
Unavyoniona leo si nilivyokuaga before
Hata maendeleo ukiniona utanipa shikamoo
Wanao wanataka kua friends, and do what?
Ina maana tuache kutafuta change and do that
Wanangu hawana piece au chembe ya negativity
Ukifanya kazi kali wanapush, ni flexibility
Rap imekua facility, kusifia wenye ability zao
Wanangu usije fananisha na wao
Huo uchafu hatuutaki, He’s back ka Tupac
Na yuko na full pack, so bring that shit back
Nna wanangu toka day one (wanangu toka day one, day one)
Wafanya kazi sio ngekewa (wanangu toka day one, day one)
Hawa wanangu toka day one (wanangu toka day one, day one)
We wanao wanaelewa (wanangu toka day one, day one)
Ahh yeah
Ever since dayone am killin' these rappers mwanangu sinabudi
Ahh yeah
Me and my niggaz ahead of our time they like lini mtarudi ?
....
Ahh damn
Jikute unadinda wanangu mbwa mwitu they will die for the pack
Afu na bega moja limepinda mwanangu i carry the city on my back
Cause I'm always with my gang gang gang
Hata choka mbaya, never tire
Tumekuwa kwa dona sembe mbe mbe
Ukiingia vibaya tu ni bang bang bang
Ukiwagusa umenigusa its all the same damn thing
Cheki, nalenga sikwepeshi
All bout the money kama jina langu petti
Fundisha tu hawa rappers kama vipi ntoe vyeti
Maana Kila bar tusi afu staji hata nyeti
Demu wako ananichek she be like
Dwin how u duin ahh freshh
Skuizi mbona resi
Maan Kila verse unayotoa tu ni kesi
Ukifika mjini me and my girls tutakufanyia wepesi
(Like ahh damn)
Basi navunga
Me na machzii tunasaka tu mabunda
Wanangu namaujanja kama vile tu sungura utawakuta wanakula mijani afu sio michunga
(Ahh daaaamn)
They like Who dat?
Its the kid's time ka ulikuwa hujui muda
For a couple cents wanako wanageuka yuda
Wanangu ni wanyama tunawaza tufungue mbuga