
DESTINY ft. Gosby
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
DESTINY ft. Gosby - Salmin Swaggz
...
Eti wanataka tuonane, while i’m thinking about money Eh kwani kitu gani, hebu mniache jamani Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny Fake nimeweka kando, wakinicheck sina bando Wakija nyumbani nawaeka kwa jirani wasije kunitoa chambo Vichekesho mi si Bambo, pata pesa uone vitambo Au fukuza mama nyumbani ndo uone vituko vya mama wa kambo Basically i’m taking everything up and nothing you niggas can tell me Wakiona baraka inamiminika wanabonga, ukidunda hawasemi Maisha magumu ndo maana nasaka kinoma ili nife kiboss Pato kidogo nakata niitume kwa mama nifute mikosi So ntaimba hennessy hennessy, na watoto beneti, beneti Sitaki urafiki hauna benefit, goals nimeweka mbele shit The force is pullin’ me close, I’m spending my money on stima na clothes Rappers wanaumwa nakuja na dose, ni kama corona they fully exposed Eti wanataka tuonane, while i’m thinking about money Eh kwani kitu gani, hebu mniache jamani Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny Kwanza nipe pole na safari nilipotoka ujue ni mbali Nikipata kitu nasali, kama hatujuani mikausho mikali So ukinikuta tu na pisi kali, usije ukataka habari Wauni wako fiti kwa shari, wauni wamechoka utapigwa uwe chali Mimi ni crush wa kila mitaa, jamaa, na sijakata tamaa You niggas you lie, i’m better kwa kila design Pesa zikwapi nisign, taking everything mine Kwenye zile thin line za love they’re hating Ka mziki ni shule nna vyeti, they prolly be checking the ratings Mi amor mi amor, bado mi nasaka dow Nisiwe wa mwisho, no, hatuwezi kutubu no more Hustle zimeshanipa roho chafu nahitaji sabuni ya roho So mpaka nashuka below, yeah Eti wanataka tuonane, while i’m thinking about money Kwani kitu gani, hebu mniache jamani Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Similar Songs
More from Salmin Swaggz
Listen to Salmin Swaggz DESTINY ft. Gosby MP3 song. DESTINY ft. Gosby song from album FLIGHT MODE is released in 2022. The duration of song is 00:03:50. The song is sung by Salmin Swaggz.
Related Tags: DESTINY ft. Gosby, DESTINY ft. Gosby song, DESTINY ft. Gosby MP3 song, DESTINY ft. Gosby MP3, download DESTINY ft. Gosby song, DESTINY ft. Gosby song, FLIGHT MODE DESTINY ft. Gosby song, DESTINY ft. Gosby song by Salmin Swaggz, DESTINY ft. Gosby song download, download DESTINY ft. Gosby MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
Faraji Katembo
Salumu3mv9t
Money
Paul gkpwh
gosby umeua kinouma
Muu Champ
GOAT RAPPER
Bill swagg
Ewaaa
Elia Damian
mbona unalia jomba kina nani wanataka kuharibu ur destination
swagg since day one