Less ft. Young Lunya & Con Boi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Less ft. Young Lunya & Con Boi - Salmin Swaggz
...
Paul maker
Paul maker on beat
hii ndio ile flow ambayo inafanya mabishoo wanabroo mi na komaa nao
nadrop hard shit flani kama choo
wanajiona hard core babes zao wana go like wao
wakitoka wauni zina poa roho zao
wengine nimafake ndo mana hatu roll nao