Ola ft. Mimi Mars Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Ola ft. Mimi Mars - Salmin Swaggz
...
Mimi mars ft salmon swaggz- ola be recorde material baby yeaah what dooyee l want to be with you, no more yeaaah! listen baby I'm trying to be crazy , najua unapenda nyumba za masaki na mbezi, najua unataka vingi kwangu zaidi ya mapenzi, kwaana hataa ma x wamenizidi kinyamwezi, nasiwezi kubishana na nikaanza makuu tena, hatuuwezi kushindana Kwa njia za kunisema maneno ya menishinda ya meni ovadose Kwa sababu siku hizi una dunda nahao matozii,, baby I'm so sorry na makosa nimekiri , mashoga zako ni dili ila kama utanifikiria pia kumbuka hili dunian tuko wawili , makesto toleo lapili , mwanao Mimi nimefulia salute!! kama na kuona nikosawa ,, mapenzi ndiyoyame nitosha so unavyo sema penzi lako lonanifanya niote mizizi, na ukinuna unanifanya niote kizizi,