Tell 'Em No Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Tell 'Em No - Salmin Swaggz
...
Utanikuta kwa mashiko kwenye party
Kama zenji koko nati
Hapatoshi hapa kati
Unaeza ukaja shikwa shati
Goli kipa kwa penaty
Usiombe mpira uwekwe kati
Mawinguni siwapati, au tatizo hawanati, boom
I’m a room, kabla sijakupa salamaleykum
Wanashindana kwenye kula boom
Kama ni ujinga basi I don’t consume
Wanasema siku hizi hatuna tena stylish
Bongo movie nani mkali, ish
Kaza usije sema I wish
Mikataba kwenye maandishi
Mi nascore, taking your bitch down
Naweka masnitch down, naanza kupreach down
Sa pata picha, ukija unafichwa
Hata uwe chicha, usipime kabisa
I’m running the game ila kama umekrame
Wasanii wenye fame we aint plannin the same
Careful careful when you mention, we unafanya mziki mademu
Don’t compare me with these niggas they lame
Don’t compare me with these niggas ni shame
Shule tulifanya ten over ten
Tukaja mtaani now we breaking the chain