
NJOO KWAKE YESU
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Kweli ndugu unashida dhiki na matatizo
Wajihisi peke hakuna anayekujali
Ulowaita marafiki wote wakukimbia
Wakusema sana zusha uwongo dhidi yako
Upweke wakuuwa huna pa kukimbilia
Njoo nikuonyeshe pema pa kujificha
Njoo kwake Yesu atatue shida yako
Njoo kwake Yesu 'tamaliza upweke wako
Njoo kwake Yesu yeye anakujali
Ndiye rafiki tosha 'takaye kuokoa
Akufiche Messiah kwenye mabawa Yake
see lyrics >>Similar Songs
More from JEMMIMAH THIONG'O
Listen to JEMMIMAH THIONG'O NJOO KWAKE YESU MP3 song. NJOO KWAKE YESU song from album ALINITUA is released in 2024. The duration of song is 00:04:42. The song is sung by JEMMIMAH THIONG'O.
Related Tags: NJOO KWAKE YESU, NJOO KWAKE YESU song, NJOO KWAKE YESU MP3 song, NJOO KWAKE YESU MP3, download NJOO KWAKE YESU song, NJOO KWAKE YESU song, ALINITUA NJOO KWAKE YESU song, NJOO KWAKE YESU song by JEMMIMAH THIONG'O, NJOO KWAKE YESU song download, download NJOO KWAKE YESU MP3 song