
AMENIPANDA
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi
Ni Bwana alonipanda kwa mikono yake Baba
Kando ya mito yenye rehema na baraka
Hunipalilia Baba sikosi mbolea maji
Naishi nikiamini siwezi nyauka nimepandwa eeh
Bwana asema amenipanda mimi
Kando ya mito yenye maji mengi
see lyrics >>Similar Songs
More from JEMMIMAH THIONG'O
Listen to JEMMIMAH THIONG'O AMENIPANDA MP3 song. AMENIPANDA song from album ALINITUA is released in 2024. The duration of song is 00:04:24. The song is sung by JEMMIMAH THIONG'O.
Related Tags: AMENIPANDA, AMENIPANDA song, AMENIPANDA MP3 song, AMENIPANDA MP3, download AMENIPANDA song, AMENIPANDA song, ALINITUA AMENIPANDA song, AMENIPANDA song by JEMMIMAH THIONG'O, AMENIPANDA song download, download AMENIPANDA MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
EsYoung
the song is good. the beats