NIMESHAPATA
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Nimeshapata rafiki nimeshapata
Nimeshapata kipenzi nimeshapata
Tabibu mwema rohoni pia mwilini
Yesu mwokozi daima hataniacha
Mwili huu wangu dhaifu hupata maradhi
Mara kwa mara kitanda ninaugua
Sina rafiki wote huniepuka
Yesu mwokozi daima hataniacha jamani eeh
Nimeshapata rafiki nimeshapata
Nimeshapata kipenzi nimeshapata
see lyrics >>Similar Songs
More from JEMMIMAH THIONG'O
Listen to JEMMIMAH THIONG'O NIMESHAPATA MP3 song. NIMESHAPATA song from album ALINITUA is released in 2024. The duration of song is 00:04:32. The song is sung by JEMMIMAH THIONG'O.
Related Tags: NIMESHAPATA, NIMESHAPATA song, NIMESHAPATA MP3 song, NIMESHAPATA MP3, download NIMESHAPATA song, NIMESHAPATA song, ALINITUA NIMESHAPATA song, NIMESHAPATA song by JEMMIMAH THIONG'O, NIMESHAPATA song download, download NIMESHAPATA MP3 song