NJOO KWAKE YESU Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Kweli ndugu unashida dhiki na matatizo
Wajihisi peke hakuna anayekujali
Ulowaita marafiki wote wakukimbia
Wakusema sana zusha uwongo dhidi yako
Upweke wakuuwa huna pa kukimbilia
Njoo nikuonyeshe pema pa kujificha
Njoo kwake Yesu atatue shida yako
Njoo kwake Yesu 'tamaliza upweke wako
Njoo kwake Yesu yeye anakujali
Ndiye rafiki tosha 'takaye kuokoa
Akufiche Messiah kwenye mabawa Yake
Maadui wako hawatakuona aaahh hawatakuona
Njoo kwake Yesu hawatakuona uuuhh kwake Yesu
Si wazazi sio ndugu wote wamekutenga
Tena wakusimanga jili ya imani yako
Wakucheka wakidhani huo ndio mwisho wako
Bwana Yesu asema ndio mwanzo wa baraka
Kwa kweli wataaibika atakapo kuinua
Usitie shaka Yesu 'takuinua
Njoo kwake Yesu atatue shida yako
Njoo kwake Yesu 'tamaliza upweke wako
Njoo kwake Yesu yeye anakujali
Ndiye rafiki tosha 'takaye kuokoa
Akufiche Messiah kwenye mabawa Yake
Maadui wako hawatakuona aaahh hawatakuona
Njoo kwake Yesu hawatakuona uuuhh kwake Yesu
Vumilia ndugu yangu hata nawe dada yangu
Shida zilokufika mtukuze Mungu kwazo
Nguvu atakayokupa uzaidi ya mshindi
Atakuinua adui zako wakitizama
'Kwandalie meza mbele ya adui zako
'Kwandalie meza mbele ya adui zako
Njoo kwake Yesu atatue shida yako
Njoo kwake Yesu 'tamaliza upweke wako
Njoo kwake Yesu yeye anakujali
Ndiye rafiki tosha 'takaye kuokoa
Akufiche Messiah kwenye mabawa Yake
Maadui wako hawatakuona aaahh hawatakuona
Njoo kwake Yesu hawatakuona uuuhh kwake Yesu
Njoo kwake Yesu atatue shida yako
Njoo kwake Yesu 'tamaliza upweke wako
Njoo kwake Yesu yeye anakujali
Ndiye rafiki tosha 'takaye kuokoa
Akufiche Messiah kwenye mabawa Yake
Maadui wako hawatakuona aaahh hawatakuona
Njoo kwake Yesu hawatakuona uuuhh kwake Yesu
Njoo kwake Yesu uuuhh kwake Yesu
Njoo kwake Yesu uuuhh kwake Yesu
Njoo kwake Yesu uuuhh kwake Yesu
Njoo kwake Yesu uuuhh kwake Yesu