- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Dunia inisongapo hata ndugu zangu
Wanaponiacha katika taabu za dunia
Moyo wangu tulia roho yangu tulia
Unaye Kipenzi ni Yesu
Ninaye Rafiki wa kweli (kipenzi)
Rafiki anitulizaye moyo
Wale wanisemao na kunisimanga
Wajue Yesu ni Rafiki
Yesu ni rafiki kweli Yeye haniachi
Baba hajaniacha katika taabu za dunia
see lyrics >>Similar Songs
More from JEMMIMAH THIONG'O
Listen to JEMMIMAH THIONG'O RAFIKI MP3 song. RAFIKI song from album ALINITUA is released in 2024. The duration of song is 00:04:45. The song is sung by JEMMIMAH THIONG'O.
Related Tags: RAFIKI, RAFIKI song, RAFIKI MP3 song, RAFIKI MP3, download RAFIKI song, RAFIKI song, ALINITUA RAFIKI song, RAFIKI song by JEMMIMAH THIONG'O, RAFIKI song download, download RAFIKI MP3 song