![NAKUHITAJI](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/23/f0a159925be5409aaa6b904bcdbc8637_464_464.jpg)
NAKUHITAJI
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Nakuhitaji moyoni mwangu eeh Baba
Wewe pekee unipendaye kwa dhati
Nakuhitaji moyoni mwangu eeh Baba
Wewe pekee unipendaye kwa dhati
Wazazi wangu lazima wangenipenda
Kwa sababu mimi ni mwana wao
Ndugu zangu hawangekosa kunipenda
Walijipata tumezaliwa pamoja
Marafiki nao wakanipenda
Kila mtu sababu yake mwenyewe
Lakini Yesu upendo wako wa ajabu
see lyrics >>Similar Songs
More from JEMMIMAH THIONG'O
Listen to JEMMIMAH THIONG'O NAKUHITAJI MP3 song. NAKUHITAJI song from album IMANI is released in 2024. The duration of song is 00:04:40. The song is sung by JEMMIMAH THIONG'O.
Related Tags: NAKUHITAJI, NAKUHITAJI song, NAKUHITAJI MP3 song, NAKUHITAJI MP3, download NAKUHITAJI song, NAKUHITAJI song, IMANI NAKUHITAJI song, NAKUHITAJI song by JEMMIMAH THIONG'O, NAKUHITAJI song download, download NAKUHITAJI MP3 song