
Unayo Mapungufu
- Genre:Taarab
- Year of Release:2023
Lyrics
Unayo Mapungufu - Jahazi Modern Taarab
...
........................................
Si kweli, unajinadi ujinga, huna huo, huna huo ukamilifu.
Si kamili sote tunaunga unga, tuna yetu, tuna yetu mapungufu.
Mkamili ni mmoja chinga chinga.
Mmoja tu Raufu Raufu.
Mkamili ni mmoja chinga chinga.
Mmoja tu Raufu Raufu.
Kilanilonalo unalo na wewe, tunapishana matumizi
Nililonalo ni langu mwenyewe, siri yake Mwenyezi
Kilanilonalo unalo na wewe, tunapishana matumizi
see lyrics >>Similar Songs
More from Jahazi Modern Taarab
Listen to Jahazi Modern Taarab Unayo Mapungufu MP3 song. Unayo Mapungufu song from album Unayo Mapungufu is released in 2023. The duration of song is 00:06:28. The song is sung by Jahazi Modern Taarab.
Related Tags: Unayo Mapungufu, Unayo Mapungufu song, Unayo Mapungufu MP3 song, Unayo Mapungufu MP3, download Unayo Mapungufu song, Unayo Mapungufu song, Unayo Mapungufu Unayo Mapungufu song, Unayo Mapungufu song by Jahazi Modern Taarab, Unayo Mapungufu song download, download Unayo Mapungufu MP3 song