Nina moyo sio jiwe
- Genre:Taarab
- Year of Release:2022
Lyrics
Nina moyo sio jiwe - Jahazi Modern Taarab
...
Najitaidi kuyafunga kwasababu sababu sitaki stress,Ila najua ndo binadamu mnayakuza unafiki hamkosi,Nawambia lahasha nishawachoka kwa mnayoyazusha,
Nawambia lahasha nishawachoka kwa mnayoyazusha, Aheri kila sikumie,mniseme mie,mmekamilika nini nyie au malaika nyie,
aaaaaah sio wasomi kwa mnavyonisakama hata nikikupuuzeeni,maana hamwishi, hamwishi kunisema hata haya hamuoni,
aaaaaah sio wasomi kwa mnavyonisakama hata nikikupuuzeeni,naaaa hamwishi hamwishi kunisema hata haya hamuoni,kweli sipendi kweli sipendi lawama
Similar Songs
More from Jahazi Modern Taarab
Listen to Jahazi Modern Taarab Nina moyo sio jiwe MP3 song. Nina moyo sio jiwe song from album Mahaba Niue is released in 2022. The duration of song is 00:07:57. The song is sung by Jahazi Modern Taarab.
Related Tags: Nina moyo sio jiwe, Nina moyo sio jiwe song, Nina moyo sio jiwe MP3 song, Nina moyo sio jiwe MP3, download Nina moyo sio jiwe song, Nina moyo sio jiwe song, Mahaba Niue Nina moyo sio jiwe song, Nina moyo sio jiwe song by Jahazi Modern Taarab, Nina moyo sio jiwe song download, download Nina moyo sio jiwe MP3 song
Comments (8)
New Comments(8)
Abdul karim MUGIRANEZA
Dennis senaizadt
wewe
156130575
❤️❤️❤️
halimag607m
[0x1f628][0x1f628][0x1f628]
failuna083
nshawachoka kwa mnayoyazusha ☺[0x1f640][0x1f640]
aysherfq7lw
skisza maneno sio mdundo
136925304
ninamoyo syo jiwe
Emmy Daniel's
waambea hao[0x1f618][0x1f619][0x1f619][0x1f619][0x1f619]
nzuli kwahio