
Sura Surambi
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Sura Surambi - Isha Mashauzi
...
…..Uumri ni daraja kila mtu atalivukaaa. Haya maisha Kama kamba ipo siku yatakatikaaaa………
Lolote limfikalo mja Mola ameshaliandikaaaa. Bas tuombeane duwa tupate nusurikaaaa…….
Moyo wangu sio chuma mengine yananiumaaa Sura surambi si roho nafsi ya mtu huitambuiiiiii…….
Ukimwangalia mwake usoni sikwamba utamjua Weeeeenye ubaya wa nafsi dhalimaa kwa mola hatoshindaaa anaaaauzuri wa ukakasi Moyoni muonekano wake nunda moyo wangu sigauni useme ukichafuka ni rahisi kulifuaaa…………
Katu roho yangu si sabuni ukichafuka utakuja kukoga kirahisiiiii pia nafsi yangu si gauni likichanika ni rahisi kulishooonaa……
Mimi katu siwezi siwezi nenepesha shetani weeh huku nyuma kiti mwenye nnakonda wanadaaamu wanadamu hawana imani weeh mimi mwenzenu rohoni wameshanishindaaa Nakama majungu bas yangekuwa ni ugali weeh Mimi ningeleta ningeleta sahani yangu lakini majungu jaman wala si mtaji weeh ety na walla hayanipi mi hafueni nyie nendeeeeni msitupigie Makelele weeh
Ivyo mlivyo kuita wenzenu kama midege na hata uchizi silazima mtu aguwe weeh Dalili zake yakupasa tambuee ooaaaaah……..
Hada ya mja unenaaaaah lakini muungwana vyake vitendoo Mengi wameshasema sanaa juu yangu nashukuru mungu na vumilia vishindo……..
Madhali wangu thubuhana Molla wangu anajua nia dhamila yangu lengo. sitojitwishaa lawamaaa Nikajibizana nao ety kwa vishindoo……..
see lyrics >>Similar Songs
More from Isha Mashauzi
Listen to Isha Mashauzi Sura Surambi MP3 song. Sura Surambi song from album The Best of Isha Mashauzi is released in 2020. The duration of song is 00:13:12. The song is sung by Isha Mashauzi.
Related Tags: Sura Surambi, Sura Surambi song, Sura Surambi MP3 song, Sura Surambi MP3, download Sura Surambi song, Sura Surambi song, The Best of Isha Mashauzi Sura Surambi song, Sura Surambi song by Isha Mashauzi, Sura Surambi song download, download Sura Surambi MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
salama2j887
Angel Lillie Khanali
❤️❤️❤️
Hyrath Mssami
❤❤
lyneth Jamesmr2hp
nice and good song
Azizah Hamis
like
❤❤❤❤