
Tugawane Ustaarabu
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Tugawane Ustaarabu - Isha Mashauzi
...
Kama wema wangu kwenu si akiba bora nisifanye tena
Ukitaka sema we sema sishtuki mana faidaaa cjaiona
Nmeshafnya nlipofanya nkaambiwa najipendekezaa saanaaa kama wema sifanyiii teenaaa mana nishafanya saanaa na nlipofanya nkaambiwa nikaaambiwaaa najiiiiiiii najipendekeza saanaaa
Kukaa kimya c kuogopa naona vibya mm na nyie kugombana natafta maisha yangu na nguvu zang mm c taftan na mtu
Waja tuishi kwa adabu kujuana icwe tabu tugawane ustaarabu mwisho wa ubaya aibu
Mcniseme kwa nahau na mafumbo ya kiswahili wema wangu c usahau hisan yangu hasa kuijali*2
Enyi waja msoniheshim heshma yenu nawapa mola kanijaalia nidhamu c kwamba nawaogopa *2
Mkinisalimu ntawajibu salamu kwangu haigombwi ata mkinitus ctawajibu matus kwangu ni dhambi*2
Waja mlonikusudia ubaya munguu atanilinda mja wake wenyw waja mtaona haya ubaya uwa aibu mwsho wake yalopita kwangu mm yote c ndwele mm na angalia yajayo wema wangu naomba mungu ubaki uleule cjipiu uo ubaya muutakao
Mizali mim nawatendea wema kwenu nna nzur history na kwa mola wenu karima amar njema nmejiwekea*2
see lyrics >>Similar Songs
More from Isha Mashauzi
Listen to Isha Mashauzi Tugawane Ustaarabu MP3 song. Tugawane Ustaarabu song from album The Best of Isha Mashauzi is released in 2020. The duration of song is 00:16:31. The song is sung by Isha Mashauzi.
Related Tags: Tugawane Ustaarabu, Tugawane Ustaarabu song, Tugawane Ustaarabu MP3 song, Tugawane Ustaarabu MP3, download Tugawane Ustaarabu song, Tugawane Ustaarabu song, The Best of Isha Mashauzi Tugawane Ustaarabu song, Tugawane Ustaarabu song by Isha Mashauzi, Tugawane Ustaarabu song download, download Tugawane Ustaarabu MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
josephinakimbe39@gmail.com
Andrewally
❤❤
Elisa Michael
@ayubumangula
Elisa Michael
jamn taarab tam kwel vile
salum sleiman
huyu mshamba wasim
Peter Verus
uwezi kivipi yaan
jenniferehsa8
mbn siwez download jmn
yan napenda sn taarabu