Sifa za Moyo (Choir Version)
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Sifa za Moyo (Choir Version) - Mathias Walichupa
...
Oh uwo uwo uwo wo uwouwo uwo hizi ni sifa za moyo wangu, nazileta kwako eeh Mungu nakuomba eloi eeh we zipokee×2 Verse ulikonitoa bwana wangu, ni mbali saaana, ni mbali saaaana sikudhaniwa, naa ulinichagua mimi bwana, na udhaifu wangu, ulinipenda mimiiiiiiii pasi na sababu. Sasa narudisha sifa bwana (sifa), narudisha sifa bwana, na heshiiiimaaaa uzipokee teena nanyenyekea kwako wee, nanyenyekea kwako wee, Yesu Mwokozi, wa Maisha yangu. (Narudisha), Narudisha sifa bwana , narudisha sifa bwana, na heshimaaaaaa uzipokeeeee, teena nanyenyekea kwako wee, nanyenyekea kwako wee,Yesu mwokozi wa Maisha yangu uuuh Bwana.... mmmmmhhhhh,wouwo uwo uwooo haleluyah, Haleluya... kwa shangwe, nazileta kwa shangweee sifa za Moyo wangu, bwana ,zipokee
Similar Songs
More from Mathias Walichupa
Listen to Mathias Walichupa Sifa za Moyo (Choir Version) MP3 song. Sifa za Moyo (Choir Version) song from album Sifa Za Moyo (Choir Version) is released in 2023. The duration of song is 00:04:20. The song is sung by Mathias Walichupa.
Related Tags: Sifa za Moyo (Choir Version), Sifa za Moyo (Choir Version) song, Sifa za Moyo (Choir Version) MP3 song, Sifa za Moyo (Choir Version) MP3, download Sifa za Moyo (Choir Version) song, Sifa za Moyo (Choir Version) song, Sifa Za Moyo (Choir Version) Sifa za Moyo (Choir Version) song, Sifa za Moyo (Choir Version) song by Mathias Walichupa, Sifa za Moyo (Choir Version) song download, download Sifa za Moyo (Choir Version) MP3 song
Comments (12)
New Comments(12)
Vestinad79xs
Monica Mbuva
Best song ever...sauti za hao mabint hapo mwanzon nzuri sana ..barikiwa mtumish
frank jamesbxuw1
If you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new accountIf you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2347063796632 within 30 minutes time the job is done +2347063796632
157843395
wanibariki sana
154485531
Amen nabarikiwa
Irene baby das
Ameeeeen ameeeeen Ubarikiwe sana
naja Johnyndle
[0x1f636][0x1f636][0x1f636]
Ashery Joseph
Be blessed broh @mathiaswalichupa
Nuru Yohanaf5m59
so blessed God bless you more
daud bukindub2moh
Mathy kam mathy blessed
Jasper kenny
Blessings vocals....[0x1f604][0x1f604][0x1f641][0x1f636][0x1f636]
KAMEME SOUNDZ
[0x1f641][0x1f641]Version tamu yenye baraka tamu... acoustic ✍[0x1f618]
Amen