Katika Nyumba ya Bwana
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Katika Nyumba ya Bwana - Ambassadors of Christ Choir
...
Nalifurahi waliposema tuingie nyumbani mwabwana
Hekaluni mwake mfalme bwana tunapenda kumtukuza
Miguu yetu imesimama milangoni mwa nyumba ya mfalme
Malangoni hapo ndipo sisi tunafurahia siku zote
chorus
Ni vyema kukaa nyumbani mwa baba kwa amani tufurahie,
Ndipo tunajua shida za dunia na kumtika
fedheha zetu.
Na sasa nina sema amani iwe nyumbani mwa bwana,, wampendao wanyenyekee wajazwe roho mtakatifu,,utulivu na unyenyekevu uzingire yerusalemu,, heshima ya mugu baba yetu ijaze hekalu milele.
chorus
see lyrics >>Similar Songs
More from Ambassadors of Christ Choir
Listen to Ambassadors of Christ Choir Katika Nyumba ya Bwana MP3 song. Katika Nyumba ya Bwana song from album Siku Za Kilio Zimepita is released in 2022. The duration of song is 00:05:19. The song is sung by Ambassadors of Christ Choir.
Related Tags: Katika Nyumba ya Bwana, Katika Nyumba ya Bwana song, Katika Nyumba ya Bwana MP3 song, Katika Nyumba ya Bwana MP3, download Katika Nyumba ya Bwana song, Katika Nyumba ya Bwana song, Siku Za Kilio Zimepita Katika Nyumba ya Bwana song, Katika Nyumba ya Bwana song by Ambassadors of Christ Choir, Katika Nyumba ya Bwana song download, download Katika Nyumba ya Bwana MP3 song