Muache Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Si ulianza kwa kutamba Gamba kwamba utakuja muacha,haikupita week nyumbani we ukavunja vitasa.
si ulifata mali,gari,pesa hv yako wapi sasa
zile shopping dubai,malasia,china kwenda kula bata,
we uligeuka kama hasira za mkizi Mungu mwema akampata mvuvi
anaejua thamani ya upendo,shida raha na kum handle,
We ukatamba na mapenzi ya magendo,kufichwa fichwa ukadhani upendo
kwake we ukaweka malengo,mwenzako fake love aweke nembo
ahaa umechelewa,hawezi kuelewa
yupo na familia mtoto wanamlea
Ulomkimbilia amekukimbia
huku nako pia tayari umewahiwa
Muache usimgasigasi
muache wako yuko wapi
muache we huna nafasi
muache kapata mwingine
muache usimgasigasi
muache wako yuko wapi
muache we huna nafasi
muache
Alokwambia mapenzi pesa pesa ndo alokuponza
ila sio mbaya dunia imeshakufunza
ulivimba kwenye ndege ndege,sasa umebakia apeche peche,yule uliyemuona bwege bwege leo unataka akurudie
ndo ujue inaumaga,kuachwa na ulompendaga,unabaki kama kifaranga,mwewe akishabeba wakwaza,
mwenzako keshatuliaga mapenzi ujazo wa jaba,hawezi rudia kibaba we endelea na majibaba
ahaa umechelewa,hawezi kuelewa
yupo na familia mtoto wanamlea
Ulomkimbilia amekukimbia
huku nako pia tayari umewahiwa
Muache usimgasigasi
muache wako yuko wapi
muache we huna nafasi
muache kapata mwingine
muache usimgasigasi
muache wako yuko wapi
muache we huna nafasi
muache