Kubali Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2024
Lyrics
Habari vipi hapo unanipata mpenzi
Ama niongeze sauti usikilize huu utunzi wa tenzi
Sitaki kukulaghai haya maneno yanatoka moyoni
Na kama ukikubali nitakuwa nawe
Iwe peponi motoni
Vipi unakula au mpenzi umeshalala
Yako taswira inanijia nakupepea
Ehe basi kubali mi nakupenda baby i swear
Aha iwe January au December nitakungojea maana
Waliuteka teka moyo wako
Wakaligalagaza penzi lako
Basi kubali mimi niwe wako
Nije kupiga deki moyo wako mpenzi
Kubali kubali kubali
Kubali kubali kubali
Kubali kubali kubali
Kubali kubali kubali
Oho najua umekariri,na siwezi badili
Lakini mpenzi kubali ili uone utofauti wa mimi
Ehe nitakupa penzi penzi penzi tamu,nimechanganya mdarasini karafuu
Walokuumiza paka waone wivu
Mpenzi kubali nikufute maumivu
Najua umenisikia aha basi baby fikiria,usiku mwema kwako dear amka salama mola atajalia
Waliuteka teka moyo wako
Wakaligalagaza penzi lako
Basi kubali mimi niwe wako
Nije kupiga deki moyo wako mpenzi
Kubali kubali kubali
(Kubali nikupe vitu vitamu tamu)
Kubali kubali kubali
(kubali niwe wako peke yako)
Kubali kubali kubali
Michepuko no no no nono no no
Kubali kubali kubali