Fire (feat. Nisso) Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
It's Imocy
Ngiyakuthanda kakuru ehe ehe mama
wewe
Ndiyakudhanda kakuru ehe ehe mama
Me I'm praying to Baba God oh,sio leo tu paka tommorow
akulinde my mama i love,na unajua the way i love you
Na ninachopenda vile unaniombea,kila siku mama I'm stronger
nami napambana japo wanabana,sio kitu mama I'm stronger
Aaiye nikwambie,ngoja mama nikuhadithie
mwanao mie nikwambie ahaa
kuishi mbali nawe mama,kwangu imekuwa ni ngumu saana
ila bado napambana,japo leo afadhari ya jana mama
Yelele yelele yelele yelele yelele
I'm stronger
Yelele yelele yelele yelele yelele
Mama I'm stronger
I remember when I'm fight,sauti yako ikisema nisichoke
linazidi vibe,baby nae akisema nisichoke
ohoo mama love you mama, Nakupenda sana mama
oho mama till i die, nikwendile sana mama
Ngiyakuthanda kakuru ehe ehe mama
Ndiyakudhanda kakuru ehe ehe mama
kuishi mbali nawe mama,kwangu imekuwa ni ngumu saana
ila bado napambana,japo leo afadhari ya jana mama
Yelele yelele yelele yelele yelele
I'm stronger
Yelele yelele yelele yelele yelele
Mama I'm stronger