Emergence (feat. Nelly Melody) Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
it's imocy
Nikisinzia namuota yupo pembeni waubavu
hizi njozi zanichosha kichwan zanipa tabu
yeye ndo alifanya kosa lakini kaniadhibu
hivi nini alikosa ama cheni ya dhahabu
ona sasa panya watawala nyumba,nakonda tumboni vidonda
kama alikuja kuivunja nyumba si angesema nyundo nimpatie
Sio kwamba nashindwa kwingne penda ila ameweka muhuri moyoni
Nawaza niwapi mi nitapendwa kumbukumbu zitaniharibia aha
Emergency nataka aje anisikie ehe
Hii ni emergency sio kwamba aje anirudie
Emergency aje afute upendo wake nitulie mie ehe
Hii ni Emergency namuita aje kamwambiee
Emergency Emergency Emergency
uhuu
Namuita ni Emergency
Namuita anisikie (Emergency)
Huko aliko ajue (Emergency )
Kwamba naugua (Emergency)
aje anitibu japo nipone
kamwambie ni Emergency
uhuu uhuu uhuu uhuu
Na hii ni Emergency nakutuma fikisha hii message
nimechoka kutuma vi message,hakufuta upendo ndo message
Na mbona namuona yuko busy online,anapost mwenzangu yuko fine
mwenzake najipoza na wine aha,mapenzi sio fine
alinipa ahadi kibao,kuongeza maufundi na bado
akasema tutaenda na kwao
kabla ya kwenda kwao,akapanga safari aendee town
na ndo chanzo cha penzi kwenda down
labda ni Emergency ilofanya aondoke ni emergency
Hebu mwambieni akichelewa kuja,ajiandae kupokea taarifa yoyote
haya maumivu nashindwa kuhimili,sio siri mwenzenu nimeshamkumbuka
japo sio kosa langu,ni kosa lake
ila mapenzi mahaba nimeyamiss
ohoo emergency nataka aje anisikie
emergency sitaki aje anirudie
asinirudie aje afute upendo wake nitulie mie ehe
hii ni emergency namuita aje kamwambie
Emergency Emergency Emergency
uhuu
Namuita ni Emergency
Namuita anisikie (Emergency)
Huko aliko ajue (Emergency )
Kwamba naugua (Emergency)
aje anitibu japo nipone
kamwambie ni Emergency