Ndele (feat. Jessie) Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
Verse1
Sio utani na wala sikulazimishi we ukubali
Samahani kama nimekukwaza mama
Ila wajua ni mapenzi tu
Kwako nimezama siondoi mguu
Tena washike mabunduki puuh
Komando kamanda kwa penzi mi salute
Wakutishe vibajaji tu,yakwetu ma vogue na nunua soon
Tena pesa zangu jibu lako
Kwa yako mapenzi chochote mi nafanya
(Bridge)
Nimezama kwa mapenzi(Ayayah)
Kwako nimegoma mbele siendi
Njoo nikwambie,vile nakupenda nawe ujue
Mi kitabu we moyo karatasi niufungue
Nimezama mama
Chorus
Kama umenipiga ndele(mbele giza mimi sioni
Kama umenipiga ndele(long time kitambo jibu sina anhaa)X2
Verse 2
Wajua mi napenda vingi,dubai malesia kwenda mi kuspend
Ila huna hela nikisema yes utanipa mi dollar
Milupo wa town ndo watu ambao ww umewazoea(zoea)
High classic level zangu ambazo wewe unazigombea(gombea)
Nataka gari pia na nyumba
Wazazi wangu wape mavumba
Mi sina habari kuhusu kupenda
Ni kama nuksi nawe kupendwa
No money no no no love
(Bridge)
Nimezama kwa mapenzi(Ayayah)
Kwako nimegoma mbele siendi
Njoo nikwambie,vile nakupenda nawe ujue
Mi kitabu we moyo karatasi niufungue
Nimezama mama
Chorus
Kama umenipiga ndele(mbele giza mimi sioni
Kama umenipiga ndele(long time kitambo jibu sina anhaa)X2
Hook
Im giving love,you are faking love
Kama hutojali take your time
Nilishajua we muongo eti mapenzi kwani bongo
Chorus
Kama umenipiga ndele(mbele giza mimi sioni
Kama umenipiga ndele(long time kitambo jibu sina anhaa)X2