Nionapo Shida Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Nionapo Shida - Beatrice Mhone
...
Nionapo amani kama shwari au nionapo shida kwa mambo yote umenijulisha..Ni salama rohonii mwangu..Ingawa shetani atanitesa nitajipa moyo kwani...kristo ameona unyoge wangu amekufa kwa roho yangu...Dhambi zangu zote wala si nusu zimewekwa msalabani....Wala sichukuwi laana yake ni salama rohoni mwangu....Salama( salama) rohoni...ni salama rohoni mwangu.