Mungu Wetu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Mungu Wetu - Beatrice Mhone
...
mungu wetu yeye mwamba kimbilio tabuni
msaada kwenye shida ulio karibu sana
wema wetu kutupumzisha yu kivuli kuburudisha
yu mwokozi katika njia kimbilio tabunii
mchana usiku yule kimbilio tabunii
hivyo hatutaogopa Kwan Yu karibu sana
wema wetu kutupumzisha Yu kivuli kuburudisha
Yu mwokozi katika njia
kimbilio tabunii
iwayo yeyote yeye kimbilio taabuni
twamjua yeye Ni mlinzi Alie karibu sana
wema wetu kutupumzisha Yu kivuli kuburudisha
Yu mwokozi katika njia
kimbilio taabuni
mung wetu njoo kwetu kimbilio taabuni
siku zote uwe boma lililo karibu sana
wema wetu kutupumzisha
Yu kivuli kutuburudisha
Yu mwokozi katika njia
kimbilio taabuni
wema wetu kutupumzisha
Yu kivuli kuburudisha
Yu mwokozi katika njia
kimbilio taabuni
wema wetu kutupumzisha Yu kivuli kuburudisha
Yu mwokozi katika njia
kimbilio taabuni
kimbilio taabuni
kimbilio taabuni
kimbilio taabuni
kimbilio taabuni