Habari Njema Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Habari Njema - Beatrice Mhone
...
habari njema...raha yangu
Yesu ndiye....mwokozi wangu
Habari Njema....Raha Yangu
Yesu Ndiye....Mwokoz Wangu
Ndiye Dhamana Yesu Wangu
Hunipa FuRaha Za Mbingu
Mrithi Wa Wokovu Wake
Nimekaa Kwa Roho Yake
Habari Njemaaa
Habari Njema....Raha Yangu
Yesu Ndiye Mwokozi Wangu
Habari Njema....Raha Yangu
Yesu Ndiye Mwokozi Wangu
Hunisalim Moyo Wangu
Mara Namwona Raha Yangu
Aniletea Malaika Wananilinda ataogopa
Habari Njema...Raha Yangu
Yesu Ndiye Mwokoz Wangu
Habari Njema....Raha Yangu
Yesu Ndiye Mwokoz wangu
Sina Kinyume Nashukuru
Mchana Kutwa Huja Kwangu
Usiku kucha Kuna Nuru
Mwokozi Wangu Nimehuru
Heheheeeeeeeeeeeeeeeee
Habari Njema Raha Yangu
Yesu Ndiye Mwokoz Wangu
Habari Njema...Raha Yangu
Yesu Ndiye Mwokoz wangu
Hali Na Maji Yanitwaa
Mara Namwona Anifaa
Nami Namgoja Kwa Subira
Akiniita Nije Mara Uuuuuuh
Habari Njema(habari njema) ...Raha Yangu (Yesu ndiye)
Yesu Ndiye Mwokoz Wangu (mwokoz wangu)
Yesu Ndiye Mwokoz Wangu
Habari njema....raha yangu