Bwana Yesu Yuko Wapi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Bwana Yesu Yuko Wapi - Beatrice Mhone
...
.......
Bwana Yesu Yuko wapi mpenzi wangu
rafiki
njia gani amekwenda nitamwonaje Mimi
roho yangu yajutishwa na dhambi na huzuni
Yesu mpenzi wangu mwema namtafuta kwa bidii
napaiza sauti yangu nalia wapi Yesu
ndani mwangu Sina Raha mpaka nimwone Yesu
ningekuwa na mabawa ningeruka upesi
milimani mabondeni kutamtafuta Bwana angu
Aondoa shida zangu maharibifu yote
nikiona tabu Mimi anituliza yeye
nitafanya bidii Sana kumtafuta popote
sitachoka kutembea mchana hata usiku
Bwana Yesu nitokee roho inakuita
niokoe na maovu Yesu mwokozi wangu
utulize hamu yangu kaa kwangu daima
nikupende Sana wewe niwe wako milele
utilize hamu yangu kaa kwangu daima
nikupende Sana wewe niwe wako milele
......
nikupende Sana wewe niwe wako milele x4