Bwana Yesu Yuko Wapi
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Bwana Yesu Yuko Wapi - Beatrice Mhone
...
.......
Bwana Yesu Yuko wapi mpenzi wangu
rafiki
njia gani amekwenda nitamwonaje Mimi
roho yangu yajutishwa na dhambi na huzuni
Yesu mpenzi wangu mwema namtafuta kwa bidii
napaiza sauti yangu nalia wapi Yesu
ndani mwangu Sina Raha mpaka nimwone Yesu
ningekuwa na mabawa ningeruka upesi
milimani mabondeni kutamtafuta Bwana angu
see lyrics >>Similar Songs
More from Beatrice Mhone
Listen to Beatrice Mhone Bwana Yesu Yuko Wapi MP3 song. Bwana Yesu Yuko Wapi song from album Ingoje Ahadi is released in 2016. The duration of song is 00:04:49. The song is sung by Beatrice Mhone.
Related Tags: Bwana Yesu Yuko Wapi, Bwana Yesu Yuko Wapi song, Bwana Yesu Yuko Wapi MP3 song, Bwana Yesu Yuko Wapi MP3, download Bwana Yesu Yuko Wapi song, Bwana Yesu Yuko Wapi song, Ingoje Ahadi Bwana Yesu Yuko Wapi song, Bwana Yesu Yuko Wapi song by Beatrice Mhone, Bwana Yesu Yuko Wapi song download, download Bwana Yesu Yuko Wapi MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
Victor Franael
hendry kimaro
mungu akubariki zaidi na aendelee kukuinua kkwa iwango vya juu[0x1f607]
StellahCy74
ubarikiwe sana Mtumishi,❤️ Hallelujah Tenzi hii inatia moyo wa kuendelea kumtafuta YESU KRISTO
[0x1f653][0x1f653]