
Yanga Anthem Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Yanga Anthem - Marioo
...
feisal
mayele
azizia
aucho
molson
oooooooooo
sisi ndo yanga
oooooooooooo
diara
kibwana
bangala
shaban mwamnyeto
oooooooooooo
sisi ndo yanga
ooooooooooooo
tunachambua chambua kama karanga
hakuna kushuka si mwendo wa kapanda
tunatungua hata wajenge kibanda
iwematuta faulo zote namba
sisi sio level zao haooo makolo
hatushindani nao haooo makolo
si ndo kibokoyao haoo makolo
yanga kabali yao hao makolo
mawinawina ee wakawaka ee
mawinawina oo wakawaka oo
mawinawina ee wakawaka ee
mawinawina oo wakawaka oo
nkane
kambole
digirimana
sure boy
dickson
oooooooooooo
sisi ndo yang'a
oooooooooooo
bangla
djuma
lomalisa
yusuph mwamnyeto
oooooooooooo
sisi ndo yang'a
ooooooooooooo
GSM
GSM
GSM
GSM
tunaimani nayo tunaimani na yanga Africa
tunaimaninayooooo tunaimani na yanga Africa
tunaimaninae tunaimani na Raisi
tunaimaninaeeee tunaimani na Rais
tunaimaninae tunaimani na bugatti
tunaimaninaeeee tunaimani na bugatti
sisi sio level zao hooo makolo
hatushindani nao hao makolo
sindo kiboko yao hao makolo
yanga kabali yao hao makolo
mawinawinaee wakawakaee
mawinawinaoo wakawakaoo
mawinawinaee wakawakaee
mawinawinaoo wakawakaoo
ninja
moloko
faridi
mauya
makambo
oooooooooooo
sisi ndo yang'a
oooooooooooo
brighton
johola
msheli
mushi ambundo
oooooooooooo
sisi ndo yang'a
oooooooooooo
...........by abdulmalik shaban kitambulio.......0736004050...