MWEMA ft. MELANIE ANTHONY Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
MWEMA ft. MELANIE ANTHONY - Paul Clement
...
wema wako kwa wakati wa furaha tu
wema wako ni ya wakati hata wa machozi
wema wako haupimiki kwa majira fulani tu
wema wako ni kila wakati na kila nyakati
hata sasa ni mwema
tunapoimba ni mwema
tunapolia ni mwema
tunapocheka ni mwema
tunapopanda ni mwema
tunapovuna ni mwema,
tunapokosa ni mwema tu
tunapopata ni mwema
wewe ni mwema u mwema wewe ni mwema ndugu sikia
( wewe ni mwema u mwema, wewe ni mwema)×4
( unatupenda×2 wewe ni mwema)×2
(wewe ni mwema.. wewe ni mwema u mwema ,wewe ni mwema)×2
unanipenda unanipenda wewe ni mwema ×2
wema wako ni kama mchanga siwezi kuhesabu
wema wako ni kama maji yanayo miminika bila kikomo
mtu akinge ama asikinge hayataacha kutoka
hata sasa ni mwema , tunapoimba ni mwema
tunapolia ni mwema
tunapocheka ni mwema
tunapopanda ni mwema eeh eeh eeeh
tunapovuna ni mwema
hata tunapokosa ni mwema
yunapopata ni mwema ( wewe ni mwema)
chorus....
wewe ni mwema u mwema wewe ni mwema×2 kweli wewe mwema
( unatupenda×2 wewe ni mwema)×2
wewe ni mwema u mwema wewe ni mwema×2
eeh( unatupenda×2 wewe ni mwema)2