![Siogopi](https://source.boomplaymusic.com/group2/M18/1F/E1/rBEeqF5iIrKAJ78AAACxdUDJhOg696.jpg)
Siogopi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Siogopi - Paul Clement
...
siogopi kuchelewa sababu mungu wangu achelewi wala hawai siogopi mateso yangu sababu yananipeleka kwenye ukuu wangu
siogopi kudharauriwa maana ndiko kunakonipa heshima yangu
siogopi adui zangu maana najua niadui wa mungu wangu
siogopi hiv Vita vyangu maana ndivyo vinavyonipa ushindi wangu
siogopi
siogopi
siogopi
siogopi *2
am not afraid *4
nimepewa mamlaka siogopi nge Na nyoka tawakanyanga vichwa vyao hazitanidhuru sumu zao Yaan maneno yao
siogopi kutembea kwenye giza maana Mi nuru Mi naangaza siogopi kusimama juu yya mlima maana najua siwezi sitrika
siogopi moto moto sababu lazima nipite Mm dhahabu ili nisimame niwe imara niwe kinara
siogopi moto moto sababu lazima nipite Mm dhahabu niwe hodari niwe jasiri niwe kamiri ..
siogopi............