
Amani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Amani - Paul Clement
...
Heee hehee
Hee hee
Ameenifanyia amani
Ameenifanyia amani
Kaondoa
Huzuni yangu kanifanyia amani
Ameenifanyia amani
Ameenifanyia amani
Kaondoa
Huzuni yangu kanifanyia amani
Nijapopita kwenye bonde La mauti
Sitaogopa mana wewe ukonami
Gongo lako na fimbo yako
Ebwana vyanifariji
Wanifanyia amani
Umesema yakwamba hutaniacha
Sababu Mimi ni mboni ya jicho lako
Bwana wanitazama
Asubuhi, mchana, jioni
Ebwanaa
Kweli mungu wa barakaa
Ameenifanyia amani
Sitaachoka kusemaa
Ameenifanyia amani
Uuh yee kwelii
Kaondoa
Huzuni yangu
Huni yangu kaniafania amani
Kwelii huyu yesu ee
Ameenifanyia amani
Huyu yesu ee
Ameenifanyia amani
Hei Kaondoa
Kaondoa
Huzuni yangu kanifanyia amani
Amebadirisha
Uchungu wangu
Umekuwa
Ni furaha yangu
oo huyu yesu
Amenipa furaha
Kanifanyia amani
Amebadirisha
Machozi yangu
Yamekuwa
Ni furaha yangu
oo huyu yesu
Amenipa furahaa kanifanyia amani
Mungu wa baraka
Ameenifanyia amani
Huyu yesuuu
Ameenifanyia amani
Kaondoa
Huzuni yangu
Huzuni ya kanifanyia amani
Amanifuta machozi
Ameenifanyia amani
Amenifuta machozi bwana
Kaondoa
Huzuni yangu kanifanyia amani
Furaha unipayo sio kama ya dunia hii
Amani unipayo sio kama ya ulimwengu huu
Wee waniganga moyo
Nipatapo uchungu
Wanifanyiaa amani
Furaha unipayo sio kama ya dunia hii
Amani unipayo sio kama ya ulimwengu huu
Wee waniganga moyo
Nipatapo uchungu
Wanifanyia amaani
Wewe yesu we
Ameenifanyia furaha
Furaha ya kweli
Ameenifanyia furaha
Euuee
Kaondoa
Huzuni yangu mimi
Huzuni yangu kanifanyia furaha
Mungu wa Baraka ahsante
Ameenifanyia furaha
Mungu wa Baraka
Ameenifanyia furaha
Kaondoa
Kaondoa
Huzuni yangu
Huzuni yangu kanifanyia furaha
Kaondoa
Kaondoa
Ehuzuni yangu
Huzuni yangu kanifanyia furaha
Kaondoa
Kaondoaaa uuueeeuu
Kaondoa.