
Mwaminifu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Mwaminifu - Paul Clement
...
Una wasiwasi, hofu na mashaka, unahisi moyoni kama Mungu kakuacha maana unaona hausogei wala huendelei, uko palepale kila Siku uko vilevile *2
Mungu alieanzisha safari
tena ata imaliza, na ahadi zote alizosema yeye ata zitimiza,
mana alikujua, kabla hujajijua kabla hujazaliwa.
Mungu hawezi kukuacha njiani,
safari yako alianzisha mwenyewe,
asingetaka angekuacha mwanzoni,
unakokwenda yeye anajua, *6
Prepared by Nancy Mshana
Anajuaaaaa
Anajuaa....
Ulikotoka, unakokwenda
Anajuaa.....
Anajuaaaa
Anajua.....
Atainyoshaaa
Atainyoosha njia yako,
Atainyoshaa njia yako
Atainyoshaaa njia yako
Ina mabonde
Kweli
Ina vikwazo
Vingiii.....
Atainyoshaaa
Njiaaaa yako