TUMECHAGULIWA
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
TUMECHAGULIWA - Paul Clement
...
Maamuzi ya Mungu hayategemei ushauri wa mwanadamu
Ingekuwa hivyo sisi wengine tusingechaguliwa
Wengi wangetupinga (mbele Yake)
Wangetusimanga (mbele Yake)
Wangetusema vibaya (mbele Yake)
Tusingechaguliwa
Ila Mungu haangalii cheo, elimu, pesa na vinavyoonekana kwa nje
Anatazama moyo
Mungu anapomchagua mtu hata kama ni mnyonge
see lyrics >>Similar Songs
More from Paul Clement
Listen to Paul Clement TUMECHAGULIWA MP3 song. TUMECHAGULIWA song from album SERMON is released in 2022. The duration of song is 00:06:16. The song is sung by Paul Clement.
Related Tags: TUMECHAGULIWA, TUMECHAGULIWA song, TUMECHAGULIWA MP3 song, TUMECHAGULIWA MP3, download TUMECHAGULIWA song, TUMECHAGULIWA song, SERMON TUMECHAGULIWA song, TUMECHAGULIWA song by Paul Clement, TUMECHAGULIWA song download, download TUMECHAGULIWA MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
erastomlindwa
Elnaz Barakar06d
paul fundi sanaa[0x1f60d][0x1f60d]
codavo drummer
nice one
karimai971f
[0x1f623][0x1f623][0x1f623]
blessed sana