Nakupenda Remix Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Nakupenda Remix - Many Jay
...
Ah many many many Jay
oh yeah
am in love
mi mwenzako ninachopenda kila safari nafika
Jogoo wangu akikuona wewe tu ndio anawika
hilo shepu shepu ndio linafanya nachizika
hata uwe kichefuchefu mi siwezi kukutapika
vile ukikaa chuchumaa nibalaa Baby
ukijipitisha huko kitaa watu wana dead
kwenye giza we ni taa unavyong'aa Baby
nakama ukinikataa am gonna be crazy
na sijaja kwako kwasababu ya matusi
penzi lako upako laniondolea nuksi
hauzurulagi eti ndani sikukuti
nikija na vizawadi vipipi vibiskuti
Shidaa nii nimekolea penzinii
ah shida nii Baby uko moyoni
wewe wewee
nakupenda wee,nakutaka wee
kwako sijiwezi ooh My love
mpenzi wee roho yangu wee kwako sijiwezi ooh my love
ah nichote unyayo haina kwere Baby
yani zidisha kunipiga na hizo ndelendele Baby
mh kwanza nambie hivi unapenda Biashara au unapenda mazoezi kama konde na kajala ??
waache waende Dubai,tusiwaige wale
mi nikipata pei ntakupeleka Tandale
na wasikutishe hata wakipewa ndinga
nami ntajitahidi mpaka nitakupa mimba
Baby don't doubt for you am gonna fight
wakitoana out si tutoane love bite
nakama penzi wakilitilia mashaka
yupo mwenyezi atatutilia baraka
Shidaa nii nimekolea penzinii
ah shida nii Baby uko moyoni
wewe wewee
nakupenda wee,nakutaka wee
kwako sijiwezi ooh My love
mpenzi wee roho yangu wee kwako sijiwezi ooh my love