Diamond platnumz Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Diamond platnumz - Many Jay
...
Ah oyee Many many Many Jay
salu on the beat
Naitwa Diamond Platnumz A.k.A Simba,kuhusu gonjwa la Muziki Tanzania mi ndio tiba
sina mpinzani wanaojiita Wapinzani wananiiga,mi ndo nimeleta vijana ambao leo wanawapa shida:
Harmonize bila mimi,angekuwa mlima korosho ama mcheza kandanda ,Tandahimba Fc
mi ndo nimemleta mjini,sasa anawasha moto adi wapinzani wamempa gwanda kwamba ashindane na mii:
Rayvanny V vannyboy ama chui,sidhani kama leo kuna mtu hamjui,
kijana safi niliemkuta ananyota ya Punda,bila kumsaini wasafi angerudi kulima mpunga:
nasasa ni moja kati ya wanamuziki tajiri:
wenye roho za kinafki ndo watapingana na hili:
wengi nimewapa thamani,leo wamepanda bei,bila mimi mbosso khan angechuja kama Aslay :
oyaa mimi ndio Diamond platnumz
mimi ndio Diamond platnumz
oyaa mimi ndio Diamond platnumz
mimi ndio Diamond platnumz
Marioo alitaka nimsaini nkakataa,kwa uchungu adi akaanza kulia:
nkamwambia simama mwenyewe wewe ni star,endapo ukikwama mimi ntakusaidia:
mtakuwa sawa mkiniita GOAT,
maana nina power ya nyota na noti:
Lavalava mnaesema anamkosi,ila akitoa ngoma angalau inakuwa Hot:
Zuchu nimemtoa mavumbini,nimefanya anang'aa levo za nick minaj:
kuhusu yeye kuliwa namimi,kitumbo kitajaa mana sicheleweshagi:
Na Namiliki Rolls Royce,ukiachana na Wasafi:
nakama nikikupost,ndani ya sekunde lazima upande chati:
outro
mimi ndio star ambae nilikunjiwa na Media kubwa Zote:
ila niling'aa,ingawa waliungana kunipakaza matope:
kujituma ndio mtaji,tangu nipo local ad nikavuka Boda:
sasa mi nikama maji,usipoyanywa basi ujuwe utayaoga: