Mama Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Mama - Many Jay
...
Mwanamke pekee ambaye unanipenda kweli
huwezi niwazia mi kufeli, ukiniombea dua inakuwa dua ya kweli
hawa wengine wengi ni matapeli
lemme sing for you
kwako sina hofu eti siku utanicheat
moyoni mwangu hauwezi kukosa seat
namba za wanawake wengi nime delete
ila yakwako siwezi hata kudiliki
aaah
kwangu unaoendeza hata usipojipodoa
faida haitoweza nifanya kwako kujitoa
hata wakikubeza ama kukutia doa
mi nakuona ebeneza ambaye unaniokoa
ah am very happy to sing for you now
Mama mama nakupenda sana i love youuuuu
Mama one only is you mama I love youuuuuuux;2
Ahh yeeh
ahh everybody wanna sing Mama
everybody wanna say mama
yeah because we love mama mama mama
everybody wanna sing mama
everybody wanna say mama
yeah because we love mama mama mama
kama alitangulia usiwe na wasi
jitahidi kumuenzi hili atakasike nafsi
na kama yupo mwambie how much you love her
mshukuru Mungu wanyakyusa tukuti ndaghaa
ahh
sometimes tunamdekea Mama
ila twamnyenyekea mama
alaaniwe anaye mfokea Mama mama mama
sometimes tunamdekea mama
ila twamnyenyekea mama
alaaniwe anaye mfokea
ahh na hii ni message kwa kina Mama wote
so popote ulipo you can sing like this
yeah sing it
Mama mama nakupenda sana i love you uuuhuuuh
mama mama one only is you mama i love youuuuh
mama mama nakupenda sana i love you uuuhuuuh
mama mama one only is you mama i love youuuuuh