Balance (feat. H girl Baby) Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Balance (feat. H girl Baby) - Many Jay
...
Ah Many many many Jay
mhh H girl Beibee hiyeee
Yani nimepata leo
yule ambae amepata upeo
mwenzenu nimedata leo
kama kazi nimepata cheo
Hata nkinuna ye ananichekea,
anajuwa kunipoza nikikasirika
pigo za kuchuna hajawai niletea
michepuko sasa Over nimesharizika
vile tukitinga Black & white Black & white
Black & Whaaait
tunaonekana Smart & Bright Smart & Bright Smart & Braait
Hata niishie kimoko Hanaga shaka,
hatoki nje kwenda kuongea umbea
ye anapika mimi moto nauwasha,
na sichoki nazidi kuuchochea
maana Penzi lime Balance Balance
lipo sawasawa lime Balance (Fifty fifty) Balance
penzi letu lime Balance (oohyee) Balance
lipo sawasawa lime Balance (fifty fifty)
Mmh Ananipenda nampenda sio kwamba nampenda pia,
na kule atapokwenda nitakwenda,
bila kujali ubora wa njia.
jema nikilianzisha anasapoti,akilianzisha nasapoti wanaojaribu kufelisha ili tu-lost
penzi litawasurubisha mana lipo Hot
vile tukitinga Black & white Black & white
Black & Whaaait
tunaonekana Smart & Bright Smart & Bright Smart & Braait
Hata aishie kimoko sinaga shaka, sitoki nje kuongea umbea mi napika yeye moto anauwasha,
na hachoki anazidi kuuchochea
maana Penzi lime Balance Balance
lipo sawasawa lime Balance (Fifty fifty) Balance
penzi letu lime Balance (oohyee) Balance
lipo sawasawa lime Balance (fifty fifty)
Balance mmhhh
Maana penzi lime Balance
(Akipikaaa) Balance (nampakulia)
sawa lime balance (na akifika) Balance (nami nafika pia) penzi letu lime Balance
(akiniita) Balance (namuitikia) lipo sawasawa lime Balance (akinishiikaa) Balance (namshikilia aaah)
Salu on the beat