Damu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Damu - Paul Mwai
...
Hooooo damu yako masia (damu yako)hooo imenitakasaaa imenibadilishaa ah ow asantee
mie naitangaza damu yako yesu kwa mataifa yote ya dunia maana hakuna dawa ya dhambi ila damu yako yesu pekee
Damu yake mwokozi yesu imeweza kunibadilisha (oh mwenzangu) jaribu damu ya yesu yaweza kukubadilisha asante yesu kwa neema yako na faadhilii zako za milele ulijitolea kufa msalabani niokolewe kwa damu yako yesu mie sitaaki anasa za dunia nataka damu yako yesu pekee eeeh eeh damu yake mwokozi yesu imeweza kunibadilisha (nawe mwenzangu) jaribu damu ya yesu yaweza kukubadilisha oooh asante yesu kwa damu eeh Asante yesu kwa damu yako yaniweka huru wakimbilia kwa wagaanga na wagaanguzi hakuna suluhisho maana hakuna dawa ya dhambi ila damu yake yesu pekee (damu hiyo eeh)damu yake mwokozi yesu imeweza kunibadilisha (heee mwenzangu) jaribu damu ya yesu yaweza kukubadilisha heeei eeeh damu ya yesu yavunja laana damu ya yesu yaponya magonjwa damu ya yesu yatakasa dhambi ikimbilie itakubadilisha (itakubadilisha heeeeh )oooh damu hiyo asante yesu kwa hiyo damu eeeh damu yake yesu eeh ooh ouuuw yanibadilisha eeh oohoo damu yake mwokozi yesu imeweza kunibadilisha nawe mwenzangu jaribu damu ya yesu yaweza kukubadilisha oooh hiyo damu damu eeh damu yake mwokozi yesu imeweza kunibadilisha (nimeona mimi eeh) mwenzangu jaribu damu ya yesu yaweza kukubadilisha yaweza yaweza heee damu yenye uweza yamu yenye uwezo inaponya inadumisha damu eeh katika maisha yako damu yaweza kukuweka huru yakubadilisha eeeh ooh oooh