Nitatangaza Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Nitatangaza - Paul Mwai
...
Nitatangaza matendo yako
Dunia yote ikujuwe adonaï
akuna Mungu kama wewe
wumetukuka dunia yote
wumenitoa mbali sana
wume ifadhi roho yangu,
mikusiku naimba sifa zako emmanueli, na ku abudu.
(wunastaili), nitaimba sifa zako osenu,
(asante kwa wema wako) wasiyo ai yakuchuwe,
(winuliwe), mpali unanileta ebeneza
wew ndiye mungu.
(naku inuwa bwana...), nitaimba sifa zako osenu, (nitakuimbiya siku zote za maisha langu) mbali wunani leta ebeneza, wewe ndiye mungu....
alléluiaaaa...
...
unenitoa mbali sana, jina lako jireh
limeninasua, weye mangoja mikosi pia, ata umasikini.
umevuja la'na zote, wumenipa eshima wuayi bure, mwamba imara utingiziki, wewe ndiye mungu.
(nakupenda sana...)
nitaimba sifa zako osenu (kimbiliyo langu),
waliyo haï wakujuwe, (rafiki yangu)
mbali wunanileta ebeneza, wewe ndiye mungu. x2
(pokeya sifa zangu bwana...)
....
wumeokowa nafsi yangu, wumejituika haya nipate eshima.
wuhayi yako katu'a ni ishi,
yaweh nakuabudu.
nitaimba sifa zako, nitatangaza wema osenu,
weye mataifa yakujuwe, wema na mwaminifu (wunastaili bwana...)
nitaimba sifa zako osenu, (a'sante kwa wema wako..)
walio hai wakujuwe... (winuliwe...)
mbali wumenileta ebeneza, wewe ndiye mungu.
(nakuinuya bwana...nakuinuya.. nita kuimbiya siku zote zamaisha yangu)
nitaimba sifa zako osenu, mbali wumenileta ebeneza wewe ndiye mungu. x2