Sitafa Moyo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Sitafa Moyo - Paul Mwai
...
Tulipoianza safari
Tulikuwa wengi sana
Wengine wamepoteza imani yao na kurudi nyuma wakafaa moyo
Lakini kwa neema na fadhili zako Ebenezer
Umeniwezesha
Sitafa moyo ninajua wewe uliniita umwaminifu
Kazi uliyoanza maishani mwangu
Nakwaminii utaimalizaa
Sitafa moyo ninajua wewe uliniita umwaminifu
Kazi uliyoanza maishani mwangu nakwamini utaimalizaa
Umenitoa mbali sana na safari yangu ni ndefu sana
Milima na mabonde nimepandaa umbali umeniletaa nimekuonaaa
Umechukuaa laana zangu ili niishi, u mwema na mwaminifu nakupenda Rabii
Sitafaa moyo ninajua wewe uliniita umeaminifu kazi uliyoanza maishani mwangu ninakwamini utaimalizaaa
Sasa roho yangu nisikize, sema na