Moyo Wangu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Sasa Ebeneza ,ninayo sababu ya kukushukuru wewe
Kwa waminifu wako,umenitoa mbali ,
Umenikumbuka
Sasa roho yangu sahau shida zako, katika maisha yako mwimbieni ni mwema
Aaaaah Yahweh , Yahweh , Yahweh Yahweh Yahwehhhhh
Moyo wangu imba msifu bwana Yesu ,penda Muumba wako
Kwa siku zako zote Tena usisahau alo kutendea
Moyo wangu imba msifu bwana Yesu penda Muumba wako
Kwa siku zako zote Tena usisahau alo kutendea Yahweh
Jiveh uhimindiwe Kwa mataifa yote , Yale umetenda nimeyasikia
Ukuu wako baba, mie wanitisha
Upendo na rehema zako za milele , wimbo wako kwangu , wewe wanitosha
Sasa roho yangu ,yakutukuza wewe aaaah
Moyo wangu imba ,msifu bwana Yesu penda Muumba wako,Kwa siku zako zote tena usisahau alo kutendea
Moyo wangu imba msifu bwana Yesu penda Muumba wako Kwa siku zako zote Tena usisahau alo kutendea Yahweh
Eeeei Yahweh mmmmmmmh ,Moyo wangu moyo wangu
Wewe Elohim umeinuliwa ,duniani na binguni
Bwana umetukuka , umenisamehe dhambi Umenikomboa
kama si wewe Nisi ningalifanya Nini maishani mwangu mwote nitakuabudu
eeeei eeeei Yahweh ,
Moyo wangu imba ,msifu bwana Yesu penda Muumba wako,Kwa siku zako zote tena usisahau alo kutendea
Moyo wangu imba msifu bwana Yesu penda Muumba wako Kwa siku zako zote Tena usisahau alo kutendea Yahweh
Yahweh kimbilio langu tegemeo langu