![I Love You Lord](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/3B/89/rBEeMllCmk6AIjskAABwoDbj_bg890.jpg)
I Love You Lord Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2012
Lyrics
I Love You Lord - Paul Mwai
...
ooooh Nakutakamani
Nakuhutaji sana Yesu
Tegemeo langu
Nimeliguza vazi lako Elohim Nayo maisha yangu kayabadilisha
Nimekujua Hoseenu
Tena kanipa Uhai nila kulipa
Mie nitaubebea mzigo wako Rabbi
Kwa kuwa mzigo wako ni mwepesi sana
Nira yako ni Laini eh Masiah
Natamani nifanane nawe siku zote
Wewe ndiwe Mungu(Usiyebadilika)
Hubadiliki
Rohi Baba yangu nakuabudu
(Usiye na mwisho) Uaminifu wako una kipimo
Nayo matendo yako ninayajua
Mungu wa kipekee
Asante Yesu Kwa wema wako
Asante Kwa utukufu wako
Nilikuwa mtoto Sasa mi ni mzee
Sijapata siku Moja umenitenga
Nissi wanilinda kama mboni yako
Hesabu za nywele zangu wazielewa
Wewe ndiwe Mungu(Yahweh)
Hubadiliki (Oh Yahweh)
Rohi Baba yangu(Huna mwisho)
Nakuabudu
Uaminifu wako una kipimo Nayo matendo yako ninayajua
(Ndio maana ninaimbaaaa
Utukufu wako wa milele
Uaminifu wako una kipimo)
Sasa Ebeneza Jubu langu
Pumzi Uhai wang
Tegemeo langu
Huna mwisho wala Huna mwanzo Yahweh
Natamani nifanane nawe siku zote
Wewe ndiye Mungu(Usiyebadilika)
Hubadiliki (Nakupenda sana)
Rohi Baba yangu nakuabudu (Nakuabudu
Uaminifu wako (Ebenezer)una kipimo
Nayo matendo yako ninayajua
(Ndio maana ninaimbaaaa
Uaminifu wako Huna kipimo
Wewe Mungu wa kipekee
Natamani nifanane nawe)
Wewe ndiwe Mungu hubadiliki Rohi Baba yangu nakuabudu Uaminifu wako una kipimo
Nayo matendo yako ninayajua (Hoseenu)