![Seketula ft. Runtown](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/29/2f26e69883ac418baa0a583935661340_464_464.jpg)
Seketula ft. Runtown Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Seketula ft. Runtown - Nay Wa Mitego
...
Walaia ,Waia waia
Walaia ,waia waia
Walaia ,waia waia
Walaia ,waia waia
Kitu vironganoo
Mr.lyre
Umenipa kitu gani Mwana wa mwenzioo
Wanakusema vibaya ,Naziba mashikiooo
Umenipa kitu gani Mwana wa mwenzioo
Wanakusema vibaya ,Naziba mashikiooo
Mwenzio usiku silalii Naota napigwa makabari ………
Penzi likapata Dosari
Umejaliwa Mgongo
Mwili hauna Maringo
Nilinasa kama uringo
Nikaruka kwenye uringo
Baby usinipe Pombe , Nipe Asali nijirambe
Nicheze mdumange
Kama unaweza cheza na zirombe