Nakuja ft. Phina Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Nakuja ft. Phina - Nay Wa Mitego
...
Tell me where you are, tell me where you are baby (najisogeza eeh)

Eih darling nakwita
Sema kama unakuja nipate uakika
Si unapenda zege nishapikaa
Njoo fasta mwenzako zinamwagika
Nikuvutie ganja ndo nikulee(aah wewe tu)
Alafu nikugeuze geuze kama kitumbua vile (aaah wewe tu)
Mi sina muda wakupoteza eeh
Basi nakuja najisogeza eeh
Mi sina muda baby wakupoteza eeh
Basi nakuja darling najisogeza eeh
Tell me where you are, tell me where you are baby (najisogeza eeh)
Tell me where you are, tell me where you are baby (najisogeza eeh)
Nambie wapi ulipo mpenzi (najisogeza eeh)
Ah tell me where you are, tell me where you are baby (najisogeza eeh)
Uuuuuuuh
Ukinchiti moyo utaumaa hapa hapa
Sogea usikize unavyodunda hapa hapa
Ukiwa mbali unanipa mashaka shaka
Sitaki ugonjwa wa presha (sitaki ugonjwa wa presha)
Ooh nono no
Sikuachi sikusaliti sikuumizi kabisa kabisa
Nikuvutie ganja ndo nikulee(aah wewe tu)
Alafu nikugeuze geuze kama kitumbua vile (aaah wewe tu)
Mi sina muda wakupoteza eeh
Basi nakuja najisogeza eeh
Mi sina muda baby wakupoteza eeh
Basi nakuja darling najisogeza eeh
Tell me where you are, tell me where you are baby (najisogeza eeh)
Tell me where you are, tell me where you are baby (najisogeza eeh)
Nambie wapi ulipo mpenzi (najisogeza eeh)
Ah tell me where you are,tell me where you are baby